"tips.title": "Hatua ya Kuanza",
"tips.tryGettingStarted": "Jaribu kutumia mafunzo ya hatua ya kuanza",
"tips.tttHeader": "Mazoezi ya Kujaribu",
"tips.tttBody": "Je, unataka kutengeza nini na Scratch? Kwa kila utendaji unaweza kujaribu  Mafunzo , pakua mkusanyiko wa  Kadi zenye utendaji  au tazama  mwongozo wa Waalimu .",
"tips.cardsHeader": "Pata Mkusanyiko mzima wa Kadi za Utendaji",
"tips.cardsBody": "Ukiwa na Kadi za Shughuli za Scratch, unaweza kujifunza kuunda michezo shirikishi, hadithi, muziki, ukaragushi, na zaidi!",
"tips.cardsDownload": "Pakua PDF",
"tips.cardsPurchase": "Nunua nakala zilizochapishwa ",
"tips.starterProjectsHeader": "Miradi ya Kuanzia",
"tips.starterProjectsBody": "Unaweza kucheza na miradi ya kuanzia ili upate mawazo ya kuunda miradi yako mwenyewe ",
"tips.starterProjectsPlay": "Cheza na miradi ya kuanzia",
"tips.offlineEditorHeader": "Kihariri kinachotumika nje ya mtandao.",
"tips.questionsHeader": "Maswali",
"ttt.tutorial": "Mafundisho",
"tile.guides": "Tazama kadi na miongozo",
"tile.tryIt": "Jaribu",
"ttt.placeholder": "Kihifadhi nafasi cha matini",
"ttt.tutorialSubtitle": "Tafuta jinsi ya kutengeneza mradi huu kwa kutumia mafunzo ya hatua kwa hatua katika Scratch",
"ttt.activityTitle": "Kadi za utendaji",
"ttt.activitySubtitle": "Vumbua maoni mapya ya usimbaji kwa kutumia vielelezo vya kadi  unavyoweza kuchapisha",
"ttt.educatorTitle": "Mwongozo wa mwalimu",
"ttt.educatorSubtitle": "Tumia mwongozo huu wa mwalimu kupanga na kuongoza warsha ya saa moja ya Scratch ",
"ttt.open": "Fungua",
"ttt.MakeItFlyTitle": "Fanya ipepee",
"ttt.MakeItFlyDescription": "Fanya ukaragushi wa  paka katika Scratch, kisichana cha Powerpuff au taco",
"ttt.AnimateYourNameTitle": "Fanya ukaragushi wa jina",
"ttt.AnimateYourNameDescription": "Uhuisha herufi za jina lako la mtumiaji, herufi anzisha au neno unalopenda",
"ttt.RaceTitle": "Kimbia hadi mwisho",
"ttt.RaceDescription": "Tengeneza mchezo ambapo wahusika wawili wanashindana kukimbia ",
"ttt.MakeMusicTitle": "Tengeneza Muziki",
"ttt.MakeMusicDescription": "Chagua ala, ongeza sauti na ubonyeze vibonyi ili kucheza muziki",
"ttt.HideAndSeekTitle": "Kibemasa",
"ttt.HideAndSeekDescription": "Tengeneza mchezo wa kibemasa ambapo wahusika wanatokeza na kutoweka",
"ttt.StoryTitle": "Unda Hadithi",
"ttt.StoryDescription": "Chagua vihusika, ongeza mazungumzo kisha uitie hadithi yako uhai. ",
"ttt.FashionTitle": "Mchezo wa Mtindo",
"ttt.FashionDescription": "Tengeneza mchezo ambapo unakivalisha kihusika chako nguo  na mitindo tofauti tofauti.",
"ttt.PongTitle": "Mchezo wa Pong",
"ttt.PongDescription": "Tengeneza  mchezo wa mpira unaodunda  wenye sauti, pointi na madoido mengine. ",
"ttt.DanceTitle": "Tucheze",
"ttt.DanceDescription": "Buni mandhari hai ya muziki ukitumia muziki na hatua za kudensi.",
"ttt.CatchTitle": "Mchezo wa kukamata",
"ttt.CatchDescription": "Tengeneza mchezo wa kukamata vitu vinavyoanguka kutoka angani",
"ttt.VirtualPetTitle": "Mnyama-kipenzi sibayana",
"ttt.VirtualPetDescription": "Unda mnyama-kipenzi anayeshirikisha na ambaye anaweza kula, kunywa, na kucheza."