{
    "teacherlanding.title": "Scratch ya Waalimu",
    "teacherlanding.intro": "Wanafunzi wako wanaweza kutumia Scratch kutunga hadithi shirikishi, ukaragushi na michezo. Katika mchakato huo, wanajufunza jinsi ya kufikiri kwa ubunifu,  kwa utaratibu na kufanya kazi kwa kushirikiana — stadi muhimu kwa kila mmoja wetu kwa jamii. Tayari walimu wanahusisha Scratch kwenye masomo  na mada mbalimbali ya masomo wakilenga umri tofauti tofauti.",
    "teacherlanding.resourcesTitle": "Nyenzo",
    "teacherlanding.connectTitle": "Unganisha",
    "teacherlanding.newsTitle": "Habari",
    "teacherlanding.teacherAccountsTitle": "Akaunti za Waalimu",
    "teacherlanding.educatorResourcesTitle": "Nyenzo za Waalimu",
    "teacherlanding.educatorGuides": "{educatorLink}itakuonyesha jinsi ya kuandaa na kuendesha Darasa za Scratch na Warsha.",
    "teacherlanding.educatorGuideLinkText": "Mwongozo wa mwalimu",
    "teacherlanding.sip": "{sipName}({abbreviatedSipName}) inashiriki mawazo na rasilimali kutoka kwa Timu ya Scratch na waelimishaji kote ulimwenguni. Kila mwezi, tovuti ya  {abbreviatedSipName}hutoa vipengele na mada mpya kwa ajili ya  kuvumbuliwa na kujadiliwa.",
    "teacherlanding.sipName": "Scratch katika utendaji",
    "teacherlanding.abbreviatedSipName": "SiP",
    "teacherlanding.howUsingScratch": "Jinsi Walimu Wanatumia Scratch",
    "teacherlanding.seeLatest": "Tazama ya hivi karibuni",
    "teacherlanding.creativeComputing": "{scratchEdLink} kutoka Timu ya ScratchEd huko Harvard hutoa mipango, shughuli, na mikakati ya kuanzisha ubunifu darasani kupitia kwa tarakilishi",
    "teacherlanding.scratchEdLinkText": "Kutumia kompyuta kwa ubunifu",
    "teacherlanding.studentResourcesTitle": "Nyenzo za Wanafunzi",
    "teacherlanding.tutorialResources": "Vumbua {tutorialLink} ili kujua jinsi unaweza kutunga hadithi, ukaragushi, michezo, na zaidi!",
    "teacherlanding.tutorialLink": "Mafunzo ya Scratch",
    "teacherlanding.codingCardResources": "Pakua na uchapishe {codingCardLink} kwa maelekezo ya hatua kwa hatua kwa miradi mbali mbali.",
    "teacherlanding.codingCardLink": "Kadi za usimbaji",
    "teacherlanding.ideasResources": "Tembelea {ideasPageLink}kwa nyenzo zaidi kutoka kwa Timu ya Scratch",
    "teacherlanding.ideasLink": "Ukurasa wa kubuni Mawazo ",
    "teacherlanding.connectingWithEducators": "Kuungana na Walimu Wengine",
    "teacherlanding.teachingWithScratch": "Jiunge na kikundi cha {teachingWithScratchLink} cha Facebook kushirikiana kwa maoni, maswali, na nyenzo zinazohusiana na kufundisha na Scratch.",
    "teacherlanding.teachingWithScratchLink": "Kufundisha kwa kutumia Scratch",
    "teacherlanding.attendMeetups": "Hudhuria {meetupLink} ili kushirikiana kwa mawazo na mikakati na waelimishaji wengine kwa kuunga mkono ubunifu unaoendelezwa na tarakilishi katika aina yake yote.",
    "teacherlanding.meetupLink": "Mikutano ya Walimu wa ScratchEd",
    "teacherlanding.moreGetStartedTitle": "Namna Nyingine za Kuanza",
    "teacherlanding.csFirst": "Mitaala ya bure kutoka Google, {csFirstLink}, imetumiwa na wanafunzi na waelimishaji ulimwenguni. Zaidi ya video 1,000 za mafundisho na mipango ya masomo hutanguliza wanafunzi kwa Scratch.",
    "teacherlanding.csFirstLink": "CS First",
    "teacherlanding.codeClub": "Tembelea {codeClubLink}kufikia zaidi ya moduli 30 za bure za mradi  ili kuwashirikisha wanafunzi katika kujifunza kutunga hadithi shirikishi, michezo, na ukaragushi.",
    "teacherlanding.codeClubLink": "Code Club",
    "teacherlanding.newsAndUpdatesTitle": "Habari za Hivi punde na Mpya",
    "teacherlanding.followUs": "Tufuate kwenye {facebookLink} ,{twitterLink}, na {instagramLink}!",
    "teacherlanding.signupTips": "Jisajili upokee {signupTipsLink}kutoka kwa Timu ya Scratch",
    "teacherlanding.signupTipsLink": "visasisho na vidokezo",
    "teacherlanding.accountsTitle": "Akaunti za mwalimu katika Scratch",
    "teacherlanding.accountsDescription": "Ikiwa wewe ni mwalimu, unaweza kuagiza akaunti ya mwalimu  Scratch ambayo itarahisisha kufungua akaunti za vikundi vya wanafunzi na kuangalia miradi na maoni ya wanafunzi . Kujifunza zaidi tazama <a href=\"/educators/faq\"> Ukurasa wa Maswali ya Akaunti ya Ualimu</a>.",
    "teacherlanding.requestAccount": "Agizia Akaunti"
}